Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA JUBILEE YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kama ishara ya kuzindua rasmi Mnara wa kumbukumbu ya Jubilee ya miaka 50 ya Utume na Huduma za Jami Dodoma, wakati wa Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Jimbo la kati mwa Tanzania, yaliyofanyika Uhindini kati SDA Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato pamoja na Viongozi wengine, alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Jimbo la kati mwa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa Skafu alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa Sabato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Waasisi wa Injili wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Dodoma kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Jamii katika Kanisa la Waadventista wa wa Sabato yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, akiwa katika Picha ya pamoja wakati wa Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania,  Jimbo la kati mwa Tanzania, yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kama ishara ya kuzindua rasmi Mnara wa kumbukumbu ya Jubilee ya miaka 50 ya Utume na Huduma za Jami Dodoma, wakati wa Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Jimbo la kati mwa Tanzania, yaliyofanyika Uhindini kati SDA Jijini Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kanisa la Waadventista wa Sabato pamoja na Wananchi baada ya kukagyua mradi wa Ujenzi wa Kanisa Jipya la Waadventista wa Sabato katika eneo la Uhindini Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu  mradi wa Ujenzi wa Kanisa Jipya la Waadventista wa Sabato katika eneo la Uhindini Jijini Dodoma 

………………………….

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa madhehebu mbalimbali kuwahimiza waumini wa dini zao kuzingatia mila, utamaduni na maadili ya Kitanzania. 

Rais Samia ametoa wito huo leo katika hafla ya Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Kazi ya Utume na Huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.

Aidha, Rais Samia amewataka Viongozi wa dini kuendelea kuwaandaa watoto na vijana katika malezi yenye maadili na tabia njema ambayo yatawajenga kuwa wazalendo kwa nchi yao.

Serikali inatambua mchango wa Waadventista wa Sabato katika kuelimisha jamii katika ngazi zote kuhusu masuala ya afya na maisha bora kupitia machapisho mbalimbali na vyombo vya habari. 

Vile vile, Rais Samia amewataka Viongozi wa dini kuliombea taifa ili liendelee kudumu katika amani, umoja na mshikamano ambayo ndio msingi mkuu wa utekelezaji wa dhamira ya Serikali ya kuwaletea Watanzania maendeleo. 

Kwa upande mwingine, Rais Samia ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwaelimisha wananchi kutunza mazingira kwa kupanda miti kwa wingi, kutunza misitu pamoja na vyanzo vya maji ili tabianchi irudi kuwa kama zamani.

About the author

Alex Sonna