Featured • Kitaifa LEODGER LEONARD KACHEBONAHO ASHINDA KWA KISHINDO, 2 years agoby mzalendoeditor183 Views Written by mzalendoeditor Leodger Leonard Kachebonaho ameshinda kwa kishindo kwa Jumlaya kura 508 kati ya wajumbe 582 walioshiriki uchaguzi huo wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa na Baraza Kuu UVCCM kuwakilisha Mkoa wa Kagera FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn