Featured Kitaifa

MALECELA MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI CCM DODOMA

Written by mzalendoeditor

SAMUEL  Malecela  ameshinda kwa kishindo nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Dodoma.

Malecela ameibuka Mshindi baada ya kupata kura 480 na Kumshinda Dk.Damas Mukasa aliyekuwa akitete nafasi kwa kupata kura 192 na Peter Mang’ati aliyepata kura 34 katika uchaguzi uliofanyika leo Novemba 18,2022 jijini Dodoma.

Uchaguzi huo umesimamiwa  na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri amemtangaza Malecela kuwa mshindi wa nafasi hiyo huyu ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani John Malecela

About the author

mzalendoeditor