Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

TEA, FLAVIANA MATATA FOUNDATION WALETA TABASAMU SHULE YA MSINGI MSINUNE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akikata utepe kuzindua mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akifungua kitambaa kuzindua mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.  Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ambaye pia ni  Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwan Kikwete akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Flaviana Matata, Flaviana Matata akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Zainab Abdallah akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (katikati) akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi na wadau wa elimu nchini katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.

Miongoni mwa wananchi wa kata ya Kiwangwa Chalinze mkoani Pwani wakifuatilia hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*********************

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda amehimiza watanzania kuona fahari ya kutoa kwa hiari michango ya kusaidia maendeleo ya Elimu nchini hasa kwa kuchangia shule walizosoma ili kkusaidia jitiihada za Serikali katika kuboresha Mazingira ya kujifunza na kufundishia.

Prof. Mkenda ametoa wito huo alipokuwa akifungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.

Waziri Mkenda amesema uamuzi wa Serikali wa kutoa Elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi ya kidato cha sita katika shule za umma haizuii wananchi kutoa michango ya Elimu katika maeneo yao.

Amesema wananchi wamekuwa wepesi kutoa michango katika masuala ya kijamii ikiwa ni pamoja na harusi na misiba hivyo ari hiyo waielekeze kwenye sekta ya Elimu pia.

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Flaviana Matata, Flaviana Matata amehimiza mtanzania mmoja mmoja kuchangia katika jitihada za kuboresha sekta ya Elimu ambapo amesema nchi  itajengwa na watanzania wenyewe na sio kutegemea wafadhili kutoka nje

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye amesema Mamlaka imetumia Sh Bilioni 1.7 kufadhili miradi mbali mbali ya Elimu katika mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020/2021.

About the author

Alex Sonna