marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

madridbet

Milanobet

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

alobet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

ngsbahis

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

casinoroyal

bets10 güncel giriş adresi

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA WIZARA YA MAJI, DAWASA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa maji kwenda kwa wananchi, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. 

…………………………

*Ni kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji Dar Es Salaam

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji kwa kushirikiana na sekta binafsi ihakikishe inakamilisha taratibu za utekelezaji wa mradi wa kutoa maji Mto Rufiji utakaosambaza maji katika maeneo ya mkoa wa Pwani na Dar es Salaam.

Pia, Mheshimiwa Majaliwa ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) iendelee kutenga fedha kwa ajili ya uchimbaji wa visima zaidi kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji. “Tusipokuwa makini tutaingia katika janga la ukame.”

Ametoa maagizo haya leo (Jumanne, Novemba 2, 2022) baada ya kukutana na Waziri wa Maji, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Muwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani pamoja na viongozi wa DAWASA kwa ajili ya kujadili hali ya upatikanaji wa maji katika mkoa huo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Jana Novemba Mosi Mheshimiwa Rais Samia wakati wa Kongamano la Kitaifa la Nishati Safi ya Kupikia alimuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia uunganishwaji wa maji kutoka Kigamboni kuja maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam pamoja na kuangalia maunganisho ya maji ili kukabiliana na uhaba wa maji katika Jiji hilo.

Waziri Mkuu amesema Serikali itahakikisha maeneo yote yanapata huduma za maji na kazi ya uchimbaji visima pamoja na kutafuta vyanzo vingine vya maji inaendelea ili kufikia matamanio ya Mheshimiwa Rais Samia ya kufikisha huduma ya maji karibu na makazi ya wananchi.

Akizungumza baada ya kukagua na kuwasha pampu ya maji katika mradi wa Visima vya Maji Kigamboni, Waziri Mkuu amesema visima hivyo ambavyo vinauwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku vitasaidia katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dar Es Salaam.

Waziri Mkuu amesema mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar Es Salaam ni lita 544 kwa siku na uzalishaji maji kwa siku ni lita 520 katika kipindi ambacho kiwango cha maji katika Mto Ruvu kinakuwa katika hali ya kawaida, hivyo kuwa na upungufu wa lita zaidi ya milioni 20.

“Katika kipindi hiki ambacho kiwango cha maji katika Mto Ruvu kimepungua uzalishaji wa maji nao umepungua na kufikia lita milioni 300 kwa siku, hivyo kusababisha upungufu wa lita milioni 244. Kwa sasa tukiingiza lita milioni 70 kutoka katika mradi huu wa visima vya Kigamboni tutakuwa na upungufu wa lita milioni 174, hivyo tutaupunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadi ya maeneo.”

Waziri Mkuu amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 Mheshimiwa Rais Samia alitoa shilingi bilioni 25 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uchimbaji visima 10 katika eneo la Kigamboni, ambapo kati yake visima saba ndio vimewezesha upatikanaji wa lita milioni 70. Amewaagiza watendaji DAWASA waendelee na uchimbaji wa visima vingine.

Awali, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika kuhakikisha maji ya uhakika yanaendelea kupatikana katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo naya mkoa wa Dar Es Salaam, wizara inaendelea kufanya tathmini ya kutumia maji ya ardhini. Amesema kama wameweza kupata lita milioni 70 Kigamboni, hivyo anatarajia watapata maji mengi zaidi kupitia miradi ya uchimbaji wa visima.

Akizungumzia kuhusu mradi wa kutoa maji kutoka Mto Rufuji, Waziri huyo alisema wizara inaendelea na ufutialiji wa mradi huo ambao unatarajiwa kuzalisha maji lita milioni 750 kwa siku na hivyo kuondoa changamoto ya upatikanaji wa majisafi na salama katika maeneo ya mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha moja ya pampu zinazozalisha maji katika mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa maji kwenda kwa wananchi, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ,akitoa maelezo mara baada ya kutembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. 

About the author

Alex Sonna