Featured • Kitaifa RAIS SAMIA AWASILI BEIJING NCHINI CHINA KWA AJILI YA ZIARA YA KISERIKALI 2 years agoby mzalendoeditor41 Views Written by mzalendoeditor Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022 FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn