Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA RAIS WA KAMPUNI YA TOTALENERGIES KATIKA MASUALA YA UTAFITI NA UZALISHAJI NICOLAS TERRAZ,IKULU CHAMWINO DODOMA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

About the author

mzalendoeditor