Featured Kitaifa

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MABEHEWA YA TRC NCHINI KOREA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya moja ya mabehewa ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambayo yanatengenezwa katika kiwanda cha kampuni ya Sung Shin Rolling ya Korea. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo ametembelea kiwanda hicho na kujionea maendeleo ya utengengenezaji wa mabehewa hayo, Oktoba 25, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, MheTogolani Idrissa  Mvura, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mabarouk,  Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni yaSung Shin Roliing, BW. Gye Shul Park na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya moja ya mabehewa ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambayo yanatengenezwa katika kiwanda cha kampuni ya Sung Shin Rolling ya Korea. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo ametembelea kiwanda hicho na kujionea maendeleo ya utengengenezaji wa mabehewa hayo, Oktoba 25, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, MheTogolani Idrissa  Mvura, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mabarouk,  Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sung Shin Roliing, Bw. Gye Shul Park na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bw. Gye Shul Park  ambaye  ni  Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock ya Korea (kushoto kwake) kuhusu mabehewa ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) wakati alipotembelea karakana ya kutengeneza mabehewa ya treni inayomilikiwa na kampuni hiyo, Oktoba  25, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya moja ya mabehewa ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambayo yanatengenezwa katika kiwanda cha kampuni ya Sung Shin Rolling ya Korea. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo ametembelea kiwanda hicho na kujionea maendeleo ya utengengenezaji wa mabehewa hayo, Oktoba 25, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, MheTogolani Idrissa  Mvura, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mabarouk,  Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni yaSung Shin Roliing, BW. Gye Shul Park na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Muonekano wa baadhi ya mabehewa ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambayo yanatengenezwa katika kiwanda cha kampuni ya Sung Shin Rolling ya Korea. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo ametembelea kiwanda hicho na kujionea maendeleo ya utengenezaji wa mabehewa hayo, Oktoba 25, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor