Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

casinomaxi

casinomaxi giriş

betturkey giriş

betturkey

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

betgar, betgar giriş

monobahis, monobahis giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

jojobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

superbetin

matbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza oyna

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

kulisbet, kulisbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

sweet bonanza siteleri

Canada Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

sweet bonanza

jojobet giriş

betflix

betflix

deneme bonusu

grandpashabet

matbet

marsbahis

imajbet

teosbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet giriş

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

pusulabet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

primebahis

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

Bet365 Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

tarafbet

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

caddebet, caddebet giriş

meritbet

holiganbet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

nerobet

meritking

marsbahis, marsbahis giriş

monobahis, monobahis giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

Deneme Bonusu

ligobet

jojobet

https://sjconsultors.com/

lunabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

Pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

jojobet

Deneme Bonusu VDS Kiralama

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

mobilbahis

mobilbahis giriş

extrabet giriş

grandpashabet

dental implants turkey

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

jojobet giriş

maritbet

holiganbet

grandpashabet

mavibet

lunabet

lunabet giriş

kingroyal

izmit escort

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SWAHILI EXPO 2022

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Onesho la Sita la Kimataifa la Utalii la Swahili (Swahili International Tourism Expo) linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.

………………………………

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inatambua umuhimu wa sekta binafsi kama kichocheo cha kuimarisha sekta ya utalii hapa nchini hivyo imekuwa ikichukua hatua mbalimbali za kuleta mageuzi  hususani katika  sheria na maboresho ya sera ya bajeti ili kusaidia ukuaji wa sekta hiyo. 

Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 22 Oktoba 2022 wakati wa ufunguzi wa onesho la sita la kimataifa la utalii la Swahili (Swahili International Tourism Expo) linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam. Aidha ametaja hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ikiwemo kuboresha miundombinu ya huduma za utalii ambayo ni pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa ya mwendokasi, kujenga na kukarabati barabara, viwanja vya ndege, kambi za watalii na kuongeza kasi ya Shirika la Ndege la Taifa ili kurahisisha safari za ndani ya Tanzania pia. 

Aidha amesema Utalii ni miongoni mwa sekta zinazopewa kipaumbele na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye  amekuwa bingwa wakuimarisha sekta hiyo baada ya Uviko-19. kupitia makala ya ubunifu ya The Royal Tour ambayo imepelekea matokeo chanya ya kuongezeka kwa watalii na mapato nchini.

Halikadhalika Makamu wa Rais ametoa wito kwa wawekezaji kuchangamkia fursa kubwa na ambazo hazijatumika hasa katika sekta ya utalii kutokana na Tanzania kutoa mazingira mazuri ya amani na utulivu kwa biashara na uwekezaji. Amewahimiza wawekezaji wote watarajiwa pamoja na washiriki wote wa onesho hilo kutumia maonesho hayo kama jukwaa la kupanua biashara na kuimarisha ushirikiano ili kuipeleka sekta ya katika viwango vipya na vya juu zaidi.

Kwa upande wake Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Pindi Chana amesema Wizara hiyo imeweka malengo ya kuongeza watalii wasiopungua milioni 5 pamoja na kuongeza  pato la taifa la dola bilioni 6 ifikapo mwaka 2025. Aidha ameongeza kwamba Wizara imeendelea na jitihada kutangaza vivutio hususani katika ukanda wa kusini mwa Tanzania na kuwakaribisha wawekezaji na wadau wa utalii kuwekeza katika maeneo hayo.

Awali Waziri wa Utalii na Mambokale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Simai Mohammed Said amesema ipo haja ya kuongeza jitihada na kuwekeza katika utalii wa urithi ikiwemo kufanya tafiti na kuhifadhi maeneo ya urithi yatakayopatikana kupitia tafiti hizo. Aidha amesema Wziara hizo za utalii bara na Zanzibar zitaendelea kushirikiana katika kufikia mapinduzi ya sekta hiyo hapa nchini.

Katika ufunguzi wa Maonesho hayo, Shirikisho la Chama cha waongoza watalii nchini wametoa zawadi ya kumtambua Rais Samia Suluhu Hassan kama muongozaji bora wa Watalii kwa mwaka 2022.

Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili kwa mwaka 2022 linahudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kutoka ndani na nje ya Tanzania, zaidi ya wanunuzi 100 wa kimataifa kutoka ndani na nje ya Afrika pamoja na wageni wa kibiashara 5,000. Onesho hilo lilianzishwa mwaka 2014 kwa lengo kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana hapa nchini pamoja na fursa za uwekezaji.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akifurahia  ngoma za asili wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam kwaajili ya ufunguzi wa Onesho la Sita la Kimataifa la Utalii la Swahili (Swahili International Tourism Expo)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiongoza viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa utalii katika kuimba Wimbo wa Taifa wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam kwaajili ya ufunguzi wa Onesho la Sita la Kimataifa la Utalii la Swahili (Swahili International Tourism Expo)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea kwa niaba ya Rais Mheshimiwa  Samia Suluhu Hassan tuzo ya Serengeti kuwa Hifadhi Bora zaidi barani Afrika ya mwaka 2022 inayotolewa na World Travel Award. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi  Pindi Chana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Cheti cha Kumtambua Rais Mheshimiwa  Samia Suluhu Hassan kuwa Muongozaji bora wa Watalii nchini kwa mwaka 2022 iliotolewa na Shirikisho la Chama cha waongoza watalii Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi  Pindi Chana na kulia ni Waziri wa Utalii na Mambokale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Simai Mohammed Said.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Onesho la Sita la Kimataifa la Utalii la Swahili (Swahili International Tourism Expo) linalofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.

About the author

Alex Sonna