marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU KUZINDUA SERA YA UBIA YA NHC JIJINI DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bw.William Ngenya, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu uzinduzi wa sera yake ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika hilo, Muungano Saguya.

………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), linatarajiwa kuzindua sera ya ubia mnamo Novemba 14 mwaka 2022 unaolenga masuala mbalimbali ya uwekezaji ambapo kwa miaka mitano inategemewa kuwa na miradi 200 ya ubia yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 400.

Hayo yamesemwa leo Oktoba 20,2022 jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa Shirika hilo, Bw.William Ngenya, amesema kuwa uzinduzi huo utafanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Bw.Ngenya amesema  kuwa sera hiyo ilianza kufanya kazi tangu mwaka 1993 na hapo katikati iliweza kufanyiwa maboresho mara nne na hayo yote yamekuwa yakilenga kuweka mazingira bora zaidi ya uwekezaji lakini pia kuipa shirika hisa zaidi katika miradi.

“Tunaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuleta wawekezaji wa ndani na nje ili uchumi ukue zaidi, tumeboresha sera kwa kuweka vitu vinne ambapo Mwekezaji ataangalia,”amesema Ngenya.

Amesema  kuwa tangu kuanza kwa utaratibu huo jumla ya miradi 111 ilitekelezwa ikiwa na thamani ya bil.300,ambapo katika miradi hiyo miradi 81 yenye thamani ya sh.bilioni 240 imekamilika na kuanza kutumika huku miradi 30 yenye thamani ya bil.60 inaendelea kukamilishwa.

Miradi hii imechangia upatikanaji wa ajira, kuboresha mandhari ya miji yetu,kuongeza mapato ya shirika,kuongeza wigo wa kodi za serikali, kuongeza maeneo kwaajili ya biashara na makazi na kuipanga miji yetu”alisema.

“Sasa thamani ile ya bililioni.300 ile thamani ya hisa za shirika kwenye miradi ambapo hisa hizo katika miradi hiyo kuna za asilimia 25 kwenye baadhi ya miradi mpaka asilimia 50, hivyo dhamani ya miradi yote kwa ujumla zikiwemo hiza za wabia ni zaidi ya Trilioni. 1.2”almesema.

Aidha amesema kuwa shirika kuweka ardhi na fedha kama mtaji na mbia anaweka fedha halafu tunatekeleza mradi kwa pamoja ,nahii ni kwa ile miradi mikubwa ambayo thamani yake inazidi bil.50 na zaidi.

Ametaja ,Kujenga,kuuza na kugawana ambapo shirika linaweka ardhi na mbia anaweka fedha ambapo jengo linajengwa halafu linauzwa lote na shirika na mbia wanagawana mapato yaliyotokana nakuuza jengo hilo kutokana na umiliki wa hisa kwenye mradi.

“Nne ,Shirika linatoa ardhi kwa mkataba wa miaka 10 hadi 30 ,halafu mbia anajenga na kuendesha jengo lile na baada ya muda wa mkataba kuisha anarudisha jengo lile kwa NHC”amesema.

Hata hivyo ameeleza kuwa Katika utekelezaji wa sera hiyo, Shirika hilo litalazimika kuvunja majengo yake ya zamani yaliyopo katika maeneo ya katikati ya Miji ili kufanyika uwekezaji wa majengo makubwa.

Kwa upande wake Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Muungano Saguya amesema kuwa uzinduzi wa sera ya ubia unaenda kufungua milango ya uwekezaji kwenye sekta ya nyumba na kwa hakika wanaunga mkono maono na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuvutia uwekezaji nchini kwa kuruhusu sekta binafsi ambayo ni injini ya kuleta maendeleo ili iwekeze mitaji yao kujenga uchumi wa taifa .

”Kumekuwa na mwitikio mkubwa wa kampuni binafsi za ndani na nje ya nchi kushiriki katika uzinduzi huo ikiwamo Diaspora na wawekezaji wa kimataifa.”amesema Bw.Saguya

Bw.Saguya amesema kuwa wanatarajia kuwa na washiriki 1000 kutoka taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi ,vyama na bodi za kitaaluma pamoja na wawekezaji binafsi wa ndani na nje ya nchi.

MKURUGENZI wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bw.William Ngenya, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu uzinduzi wa sera yake ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika hilo, Muungano Saguya.

MKURUGENZI wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bw.William Ngenya, akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa  na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kuhusu uzinduzi wa sera yake ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja Habari na Uhusiano wa Shirika hilo, Muungano Saguya.

MENEJA Habari na Uhusiano wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Muungano Saguya,akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa sera ya ubia unaotarajiwa kufanyika Novemba 14, mwaka huu jijini Dar es salaam.Kushoto ni MKURUGENZI wa Maendeleo ya Uwekezaji na Biashara wa Shirika hilo,Bw.William Ngenya.

About the author

Alex Sonna