Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

pusulabet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

royalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

imajbet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

sekabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: SIJARIDHISHWA NA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA NAMTUMBO

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kukerwa  na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Aliagiza milango mibovu  iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi,

………………………….

  • Aagiza milango zaidi ya 10 ing’olewe, akuta varnish imepakwa leo

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Namtumbo na kusema Serikali haiwezi kukaa kimya huku baadhi ya watumishi wakifanya vitendo vya hovyo.

“Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameleta shilingi bilioni 7 za ujenzi wa hospitali hii. Fedha hizi za ujenzi ni lazima wananchi waone thamani ya fedha zao. Siwezi kukubaliana na utendaji wa hovyo. Fedha ziko hapa tangu Aprili, ni kwa nini hadi sasa majengo yapo kwenye lenta? Huu ni ubabaishaji,” amesema. 

Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumanne, Oktoba 18, 2022) wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Migelegele mara baada ya kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma.

“Nimekagua ujenzi wa hospitali ya wilaya lakini sijaridhishwa na hali ya ujenzi. Nimeagiza milango yenye hitilafu yote ing’olewe na iwekwe yenye hadhi ya hospitali ya wilaya. Iweje imeacha nafasi juu hadi vidole vinapita? Mtu akifunga mlango wewe uliyeko nje unaona ndani. Hii haikubaliki, RC simamieni milango hiyo itolewe, na ije yenye hadhi,” amesisitiza. 

Mapema akikagua ujenzi wa hospitali hiyo, Waziri Mkuu alikuta baadhi ya milango imepishana urefu licha ya kuwa inapaswa ikutane ili kitasa kiweze kufunga. Mingine ilikuwa inagoma kufunga, inarudi nyuma na kubakia wazi. Pia aligusa mlango na kukuta varnish bado haijauka.

Akizungumzia kuhusu upatikanaji wa mbolea, Waziri Mkuu amesema Rais Samia alitoa ruzuku ya sh.bilioni 150 ili kushusha bei ya mfuko wa mbolea na kuwaeleza wakazi hao kwamba mkoa huo umepangiwa makampuni matano ya kusambaza mbolea.

“Makampuni matano ya Mohammed Enterprises, Yara, OCIP, Premium na ETG yamepangiwa kuleta mbolea hapa mkoani, na hadi sasa tayari tani za mbolea 9,000 zimeshawasili. Kati ya hizo, tani 2,467 zimeshaenda vijijini.”

“Mahitaji ya mkoa mzima ni tani 67,000 kwa hiyo hizi tani 9,000 hazitoshi. Watu wa TFL simamieni ili iletwe haraka. Mbolea za kupandia zije sasa na za kukuzia zije baadaye. Jitahidini kuongeza idadi ya mawakala ili wananchi wafikiwe huko waliko,” amesisitiza.

Mapema, akizungumza na wananchi hao, Waziri wa Nchi (OR-UTUMISHI), Bibi Jenista Mhagama aliishukuru Serikali ya Rais Samia kwa ujenzi wa hospitali na kwamba wanufaika wakubwa ni wanawake, watoto na wazee.

Alisema Serikali itaendelea kuwapangia watumishi wa sekta ya afya ili waweze kufika kutoa huduma kwenye hospitali hiyo. “Mwaka 2022/2023 Serikali itaajiri watumishi 30,000 kwenye ajira mpya, na wengi ni wa sekta ya afya na elimu,” alisema.

Naye, Naibu Waziri wa Nchi (OR-TAMISEMI), Bw. David Silinde alisema Rais Samia ameamu kujenga shule za wasichana katika mikoa yote 26 na iliyopo katika Halmashauri ya Namtumbo ni miongoni wa shule 10 za kwanza nchini ambazo zimepatiwa fedha mwaka huu.

“Shule hizi zimetengewa shilingi bilioni 4 kila moja na zikikamilika zitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi kati ya 1,000 na 1,200 ambao watakuwa wanasoma masomo ya sayansi.”

Naye, Mbunge wa Namtumbo, Bw. Vita Kawawa alisema anamshukuru Rais Samia kwa kutoa sh. bilioni 15.5 kwa ajili ya shughuli za maendeleo wilayani humo. Pia aliishukuru Serikali kwa kuwapatia mradi ya maji wa sh. bilioni 5 ambao umesaidia wananchi kupata maji bila mgao.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kukerwa  na mlango mbovu uliowekwa kwenye chumba cha upasuaji wakati alipokagua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Aliagiza milango mibovu  iondolewe na iwekwe milango yenye ubora unaokubalika. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Christopher Wabwarumi,

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa (kulia) wakisalimiana na viongozi wa mkoa wa Ruvuma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea kwa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenista Mhagama, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,  Kanali Laban Thomas. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakifurahia ngoma wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea kwa ziara ya kikazi mkoani Ruvuma, Oktoba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna