Home » SERENGETI BOYS YAILAZA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 Featured SERENGETI BOYS YAILAZA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 Alex SonnaJumamosi, Oktoba 15, 2022 Shiriki: FacebookX TANZANIA imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda katika Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.