Featured • Michezo SERENGETI BOYS YAILAZA UGANDA KWA MATUTA CECAFA U17 2 years agoby mzalendoeditor3 Views Written by mzalendoeditor TANZANIA imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda katika Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn