Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WANANCHI WA  GEITA KWENYE MKUTANO WA HADHARA  UWANJA WA KALANGALALA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Geita kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo

Sehemu ya Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Geita wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akihutubia katika uwanja wa Kalangalala mkoani humo.

About the author

mzalendoeditor