Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU GEITA

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kama ishara ya kufungua Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu kilichopo Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kazi mbalimbali zinazofanyika kwenye Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu Mkoani Geita.

About the author

mzalendoeditor