Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHUDHURIA MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini mara baada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, viongozi wengine wa Chama, Serikali, pamoja na Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini, Mapadri pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya Misa Takatifu ya Kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki, Jimbo la Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor