Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA KATIBU MKUU MTENDAJI WA UN WOMEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN Women) Bi. Sima Sami Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN Women) Bi. Sima Sami mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor