Featured Kitaifa

GGML YATUMIA SH.BILIONI MOJA KUSIMIKA MTAMBO WA KUCHENJUA KABONI (MAKINIKIA)

Written by mzalendoeditor

 

NA MWANDISHI WETU

KATIKA kutekeleza mpango wa kulinda mazingirapamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali kuifanyaTanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo 2025, Kampuniya Geita Gold Mining Limited (GGML) imenunua nakusimika mtambo wenye thamani ya Sh bilioni mojakwa ajili ya kuchenjua kaboni ‘makinikia’ yanayotokanana shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu.

Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza napekee katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kuwana mtambo huo kwani hapo awali kampuni hiyo ilikuwainafuata huduma hiyo Afrika Kusini.

Hayo yamebainishwa hivi karibuni katika ziara yaWaziri wa Madini, Dotto Biteko ambaye alitembeleakampuni hiyo mkoani Geita kwa lengo la kujuamaendeleo ya GGML baada ya kuanza shughuli zauchimbaji wa chini ya ardhi katika migodi yake mitatu.

Akimkaribisha waziri huyo, Makamu Rais waAngloGold Ashanti anayeshughulikia Miradi endelevukwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayoalisema mradi huo utaongeza mapato kwa serikali nakampuni hiyo kwa ujumla.

“Mradi huu wa kuchenjua mabaki ya kaboniunatusaidia kuhakikisha hatuyatupi mabaki yadhahabu na mabaki yenye asili ya hewa ukaayanayoingia kwenye mazingira … kwa sababu dunianzima ipo kwenye mapambano ya kupunguza hewaukaa,” alisema.

Aidha, akizungumzia mradi huo, Dk. Biteko alisemaawali kaboni zilizokuwa zinazalishwa kwenye migodiiliyopo nchini zilikuwa zinasafirishwa kwenda nje yanchi.

“Tulizuia watu wakadhani tunafanya kitu kibaya, sasaGGML wameweka mtambo mpya ambao umegharimush bilioni moja kwa ajili kuprocess upya kaboni zadhahabu na kupata dhahabu safi badala ya kusafirishaile kaboni kupeleka nje ya nchi,” alisema.

Alisema mbali na manufaa ya mapato ambayo nchiinapata, pia watu wengi wameajiriwa kwenye mtambohuo na kuondokana na umaskini.

“Lakini pili teknolojia ya kaoni hizi ambazozinazalishwa 

About the author

mzalendoeditor