Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA  NA WAZIRI WA FEDHA WA QATAR AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KATARA HOSPITALITY MHE.ALI BIN AHMED AL KUWARI,DOHA NCHINI QATAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Mhe. Ali bin Ahmed Al Kuwari aliyeambatana na ujumbe wake, Doha nchini humo tarehe 05, Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Mhe. Ali bin Ahmed Al-Kuwari aliyeambatana na ujumbe wake, Doha nchini humo tarehe 05, Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari, Doha nchini humo tarehe 05 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari mara baada ya mazungumzo yao, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor