Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Angellah Jasmine Kairuki kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angellah Jasmine Kairuki, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe. Innocent Lugha Bashungwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax wakiapa Kiapo cha Maadili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam

About the author

mzalendoeditor