Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA WAZEE WA TUMBATU

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika mazungumzo na Wazee kutoka maeneo ya Tumbatu Gomani, Uvivini, Chwaka na Jongoe, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyotoa kwa wazee hao wakati wa ziara alizozifanya hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.

About the author

mzalendoeditor