Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussin Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Mhe.Fred  Mwesigye (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa Mazungumzo pamoja na  kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussin Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake  Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Mhe.Fred  Mwesigye wakati wa mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar   kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussin Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Mhe.Fred  Mwesigye wakati   alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo   kujitambulisha.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussin Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake  Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Mhe.Fred  Mwesigye baada ya mazungumzo yao leo wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo  kujitambulisha.[Pichana Ikulu

About the author

mzalendoeditor