slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu 888

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

tipobet

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

marsbahis

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

matbet

matbet

matbet

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

madridbet

dedebet

Featured Kitaifa

MHANDISI SEFF:’TUMEIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA WILAYA KUTOKA ASILIMIA 15 MPAKA ASILIMIA 25 KWA SASA’

Written by Alex Sonna

MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),Mhandisi Victor Seff,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Oktoba  3,2022 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za wakala huyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

……………………..

Na Alex Sonna-DODOMA

MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),Mhandisi Victor Seff,amesema kuwa wameimarisha miudombinu ya barabara za wilaya kutoka asilimia 15 mpaka asilimia 25  kwa sasa.

Hayo ameyasema leo Oktoba 3,2022 Jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za wakala huyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Mhandisi Seff amesema kuwa kwa sasa hali ya mtandao wa barabara za Wilaya  kwa sasa ni asilimia 25, ambapo kilomita  34,056 ambayo ni sawa na asilimia 23.6 una hali nzuri, kilomita 48,684.36 sawa na asilimia asilimia 33.7 una hali ya wastani na Kilomita 61,689.42 ambayo ni asilimia 42.7 una hali mbaya.

“ Takwimu zetu zinaonesha kuwa asilimia 75.67 ya mtandao wa barabara za Wilaya ni za udongo na zinaathirika sana wakati wa misimu ya mvua na kusababisha maeneo mengi kutofikika. “

“ Mipango ya TARURA ni kuhakikisha inaboresha mtandao wa barabara za Wilaya angalau ziweze kupitika misimu yote.”

Aidha Mhandisi Seff amesema  kuwa ili kupunguza gharama katika kukamilisha mirada mbalimbali za ujenzi wataweka kipaumbele katika matumizi ya malighafi zinazopatikana maeneoya kazi.

“Hadi sasa tumejenga madaraja 110 yenye thamani ya Shilingi bilioni 5 ambapo gharama imepungua kwa zaidi ya asilimia 50. Madaraja hayo yamejengwa katika mikoa ya Kigoma 72, Singida 13, Tabora 3, Kilimanjaro 6, Mbeya 2, Arusha 4, Mrorgoro 2 na Iringa 9,”Amebainisha Seff

Mhandisi Victor amesema kuwa tangu kuanzishwa kwa Wakala hiyo na kuanza majukumu yake mnamo Julai 1,2017 na kukamilika tarehe 30 June 2021 jumla ya Shilingi 1,297.79 milioni fedha za ndani zilitumika.

Ambapo Katika kipindi hicho jumla ya barabara zenye urefu wa kilometa 24,979.24 zilifanyiwa matengenezo, kilometa 955.35 zilijengwa kwa kiwango cha lami na kilometa 16,857.82 zilijengwa/karabatiwa kwa kiwango cha changarawe. Aidha, jumla ya madaraja 231 (kutoka Madaraja 2,960 hadi 3,191) na Makalvati 1,325 yamejengwa (kutoka Makalvati 67,992 hadi 69,317)

Katika kipindi hicho jumla ya barabara zenye urefu wa kilometa 24,979.24 zilifanyiwa matengenezo, kilometa 955.35 zilijengwa kwa kiwango cha lami na kilometa 16,857.82 zilijengwa/karabatiwa kwa kiwango cha changarawe.

Ambapo jumla ya madaraja 231 (kutoka Madaraja 2,960 hadi 3,191) na Makalvati 1,325 yamejengwa (kutoka Makalvati 67,992 hadi 69,317).

Amesema mpango mkakati wa pili wa TARURA wa 2021 mpaka 2026 umepanga Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili ziweze kupitika misimu yote,Kupandisha hadhi (upgrading) barabara za udongo kuwa za Changarawe/Lami kwa kuzingatia vipaumbele vya kiuchumi na kijamii ikiwa ni pamoja na kupunguza msongamano wa magari katika majiji, manispaa na miji.

Mhandisi Victor Seff ameongeza kuwa kuanzia mwaka 2021/22 hadi 2026/27 lengo la TARURA ni kuwa mtandao wa barabara za lami utaongezeka kwa km 1,450.75 (kilometa 2,404.90 – 3,855.65), changarawe km 73,241.57 (kilometa 29,116.57 – 102,358.14) na madaraja 3,808 (toka 2,812 hadi 6,620) ambapo fedha zitakazotumika kwenye mpango huu zinakadiriwa kuwa Zaidi ya Shilingi trilioni 4.2.

“Lengo la Mpango Mkakati wetu wa pili ni kuwa ifikapo 2025/26 asilimia 85 ya mtandao wa barabara za Wilaya chini ya TARURA zitakuwa zinapitika kwa misimu yote na nyakati za mvua hapatakuwa na taharuki inayojitokeza sasa kwa maeneo mengi kutofikika,”Amesema Mhandisi Seff

Mhandisi seff amesema kwa Mwaka wa fedha 2022/23 ni mwaka wa pili wa utekelezaji wa Mpango Mkakati wa pili ambapo TARURA imetengewa bajeti ya jumla ya Shilingi bilioni 838.16 ambapo kati ya hizo Shilingi bilioni 776.63 ni fedha za ndani na Shilingi bilioni 61.53 ni fedha za nje.

Naye Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Gerson Msingwa amesema katika kipindi cha miaka miwili, Serikali imezipelekea TARURA na Tanroadh kiasi cha Sh trilioni 4.7 kwa ajili ya kujenga na kukarabati miundombinu ya barabara.

“Nia ya serikali ni kuifanya nchi ifunguke na kufikika kila eneo na hilo linawezekana hata ukiangalia bajeti zinazelekezwa huko TARURA ni nzuri sana hivyo itawasaidia katika kukamilisha mipango yao na naamini kwa mikakati hii hakuna haja ya kuwa na wasiwasi nchi itafikika na itasaidia kuongeza kasi ya maendeleo ya nchi kwa ujumla,”Amesema Msigwa

MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),Mhandisi Victor Seff,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Oktoba  3,2022 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za wakala huyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

WAANDISHI wa habari wakifatilia hotuba ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),Mhandisi Victor Seff, (hayupo pichani) wakati akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za wakala huyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 leo Oktoba 3,2022 jijini Dodoma.

MSEMAJI  Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya habari -MAELEZO Bw.Gerson Msigwa,akizungumza mara baada ya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA),Mhandisi Victor Seff,kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za wakala huyo na mwelekeo wa utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 leo Octoba 3,2022 jijini Dodoma

About the author

Alex Sonna