Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betpark

meritking

jojobet

grandpashabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark güncel

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKABIDHI SH.MILIONI 600 KUSAIDIA WANAWAKE WENYE TATIZO LA FISTULA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya Shilingi milioni 600 Afisa Mtendaji Mkuu wa CCRBT, Brenda Msangi kwa ajili ya kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula, baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) zilizoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………….

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya hasa yanayogusa jamii ikiwemo fistula, na saratani ambayo yanasumbua jamii.

“Suala la kuchangia maendeleo na utatuzi wa changamoto za jamii ni la Watanzania wote. Kwa umoja wetu tukishirikiana, tutaifanya Tanzania yetu kuwa salama zaidi. Hivyo, nitoe rai kwa makampuni mengine yanayofanya biashara hapa nchini kushirikiana na Serikali ili kwa pamoja tutatue changamoto hizo,” amesema.

Akizungumza na mamia ya washiriki wa mbio za hisani za NMB leo (Jumamosi, Oktoba Mosi, 2022) kwenye viwanja vya Leaders’ Club jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu amesema Serikali pamoja na jitihada zake za kutoa huduma, bado inahitaji kuungwa mkono na Watanzania na yeyote ambaye ameguswa na jambo hilo ili kunusuru maisha ya mama zetu.

“Taarifa za Wizara ya Afya zinaonesha kuwa akinamama wengi, wanasumbuliwa na tatizo la fistula lakini wengi wao wamepoteza matumaini kwa sababu hawawezi kumudu gharama za matibabu. Hivyo, wanapotokea watu wa kuwasaidia, hatutasita kushirikiana nao ili kuhakikisha mama zetu, dada zetu na hata watoto wetu wanapata msaada,” amesema.

Ameipongeza benki ya NMB kwa kufanikiwa kuchangisha sh. bilioni moja ndani ya miaka miwili badala ya miaka minne kama iliyopangwa awali. “Utaratibu kama huu wa benki ya NMB kusaidia jamii ambao umeonesha mafanikio makubwa ya kuchangia shilingi bilioni moja kwa miaka miwili tu, ni wa kuigwa na taasisi nyingine. Mwaka jana tulipata shilingi milioni 400 badala ya sh. milioni 250 zilizokusudiwa. Mwaka huu tumepata sh. milioni 600 badala ya milioni 250.”

Amezipongeza kampuni za bima za Sanlam kwa kuchangia sh. milioni 150 na kampuni ya bima ya UAP kwa kuchangia sh. milioni 100. Mbio hizo zilianzia kwenye viwanja vya Leaders’ jijini Dar na kuzunguka viunga vya jiji la Dar na kuishia kwenye viwanja hivyo.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu amelitaka Baraza la Michezo Nchini (BMT) lisimamie mashirikisho ya michezo yote kuandaa mipango itakayojumuisha watu wengi kushiriki michezo kwenye maeneo mbalimbali nchini.

Pia amekiagiza Chama cha Riadha Tanzania (RT) kiendelee kuhakikisha mbio nyingi zinazofanyika nchini zinaratibiwa vizuri na kuhamasisha jamii kushiriki. Pia amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa ziendelee kusajili vikundi mbalimbali vya riadha, jogging na aina nyingine ya mazoezi.

“Manispaa za Temeke, Kinondoni, Ilala na nyinginezo, ziwatambue rasmi wanaoshiriki kwenye hivi vikundi na kuwasaidia kutambuliwa kwa shughuli zao kwa sababu vinasaidia kukuza hamasa ya michezo katika jamii,” amesisitiza.

Pia ameyataka mashirika, makampuni na majeshi nchini yarudishe utaratibu wa kuunda vikundi vya kuibua vipaji ili kurudisha hadhi ya nchi katika mashindano ya kimataifa.

Mapema, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Bi. Ruth Zaipuna alisema benki yao imeandaa mbio hizo za hisani za marathon (Mwendo wa Upendo) ili kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la fistula. Alisema mwaka jana waliweka lengo la kukusanya sh. bilioni moja kwa kipindi cha miaka minne lakini wamelitimiza ndani ya miaka miwili.

“Takwimu zilizopo zinaonesha wanawake 10,000 wana fistula na kila mwaka wanaongezeka 3,000 lakini wanaopata matibabu ni 1,300. Na gharama ya kumtibu kila mmoja ni sh. milioni nne. Kwa hiyo, fedha zilizokusanywa zitatumika kulipia matibabu ya wanawake 250,” alisema.

 

Viongozi walioshiriki mbio hizo ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zuberi Ali Maulid, Naibu Spika, Mussa Azzan Zungu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Godwin Gondwe, Mameya wa Dar es Salaam na Zanzibar, Wabunge wa Ukonga na Kibamba, wakurugenzi wa taasisi na mashirika mbalimbali.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Slaa na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza mazoezi ya viungo baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022.  Kushoto  Afisa Mtendaji Mkuu wa CCRBT, Brenda Msangi, wa pili kushoto Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Slaa na kulia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zubeir Ali Maulid 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimaliza kilomita 5 za mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kumaliza kilomita 5 za mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa medali ya kumaliza mbio za  hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) na Mwenyekiti wa Benki hiyo, Dkt. Edwin Mhende baada ya kumaliza mbio hizo zilizoanzia Viwanja vya Leaders Club na jijijini Dar es salaam, Oktoba 01, 2022.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni 600 kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna kwa ajili ya kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula, baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) zilizoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hundi ya Shilingi milioni 600 Afisa Mtendaji Mkuu wa CCRBT, Brenda Msangi kwa ajili ya kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula, baada ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) zilizoanzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhende. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna