Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

DC NYANG’HWALE AIPONGEZA GGML KUAJIRI ASILIMIA 98 WATANZANIA MGODINI

Written by Alex Sonna

NA MWANDISHI WETU, GEITA

MKUU wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William amesema uongozi wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGM) umewatoa kimasomaso Serikali ya mkoa wa Geita katika ufadhili wa maonesho ya teknolojia ya madini tangu yalipoanzishwa miaka mitano iliyopita.

Pia ameipongeza kampuni hiyo kwa kutoa fursa za ajira kwa Watanzania zaidi ya asilimia 98 ya waajiriwa wote wa kampuni hiyo iliyoanza shughuli za uchimbaji wake rasmi hapa nchini mwaka 2000.

Mkuu huyo wa wilaya ametoa pongezi hizo jana mjini Geita alipotembelea mabanda yaliyopo katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Geita na kufanya majumuisho katika banda ya GGML kwenye viwanja vya Bombambili mkoani Geita.

Alisema katika kipindi cha miaka mitano GGML wameshiriki maonesho hayo lakini pia wamekuwa wadhamini wakuu na kufanya kazi kubwa ya kuboresha maonesho hayo.

“Niwapongeze na kuushukuru uongozi wa GGML kwa kazi kubwa wanayoifanya katika mkoa wetu wa Geita…kwa kweli wametutoa kimasomaso na tunaendelea kuwashukuru na kuwasihi tuendelee hivyo hivyo,” alisema.

Alisema kipindi fulani wakati madini haya yakiwa chini ya ardhi, Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere alisema kwamba hatachimba madini haya mpaka Watanzania wawe na uwezo na teknolojia sahihi ya kuyachimba ili yaweze kunufaisha wananchi.

“Tumeona wafanyakazi wengi wa GGML ni Watanzania wenzetu, tena ni mahiri kabisa katika kusimamia hii sekta ya madini kwani katika kila sekta wapo Watanzania wanasimamia, hivyo ni muhimu wananchi kushiriki katika tasnia hii ya madini,’ alisema.

Alisema maonesho ya mwaka huu ni mazuri kwa sababu yamejumuisha wadau wengi zaidi ya 600 kutoka makampuni mbalimbali ya madini na wadau wake.

“Niwashukuru wadau wote ambao wamejitokeza kuleta bidhaa kwa ajili ya maonesho haya. Nitoe wito kwa wananchi wa Geita na mikoa jirani kujitokeza kwa wingi kuja kuona teknolojia mbalimbali za madini na uzalishaji mali ambazo zitasaidia kuboresha maisha yao.

“Pia nimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutoa fursa kwa mkoa wa Geita kuonesha dunia nini ambacho tunaweza kufanya, tumejaliwa bidhaa za kilimo, madini na shughuli mbalimbali za kiuchumi, ni muda muafaka kwa watanzania kutoka sehemu mbalimbali kuja kuwekeza katika mkoa wa Geita kwani fursa zipo,” alisema.

Awali Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya GGML, Stephen Mhando mbali na kumkaribisha Mkuu huyo wa wilaya katika banda hilo kuu la GGML, pia alimueleza kwamba kampuni hiyo imetekeleza kwa vitendo maboresho ya sheria ya madini ambayo inatoa nafasi kwa wazawa kushiriki mnyororo wa shughuli za uchimbaji wa madini.

Alitolea mfano baadhi ya kampuni hizo kuwa ni pamoja na African Underground Mining Services (AUMS), ambayo inahusika na kutoa huduma za uchimbaji na uendeshaji wa migodi hasa chini ya ardhi (underground), kwa GGML.

Vilevile Kampuni ya Blue Coast Investment Limited ambayo ni mmoja wa wakandarasi watoa huduma wa kampuni ya GGML. 

Afisa Mwandamizi wa Idara ya Rasilimali watu kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining – GGML Innocent Mushi (wa pili kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Nyang’wale Mh. Jamhuri William (wa pili kulia) namna kampuni hiyo inavyotoa fursa kwa wazawa kupata ajira na kushika nyadhifa za juu ndani ya kampuni. Mkuu huyo wa Wilaya alitembelea banda la GGML ambao ndio wadhamini wakuu wa maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini- Geita. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mafunzo kutoka GGML, Egidius Mzale.

Msimamizi wa shughuli za kihandisi African Underground Mining Services (AUMS), Redempta Samky (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Nyang’wale, Jamhuri William (wa pili kulia) namna GGML imetoa zabuni kwa kampuni hiyo ya wazawa na kuiwezesha kukua na kuzalisha ajira zaidi ya 200. Mkuu huyo wa Wilaya alitembelea banda la GGML ambao ndio wadhamini wakuu wa maonesho ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini- Geita. Wa kwanza kulia ni Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya GGML, Stephen Mhando.

About the author

Alex Sonna