Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoketi katika ukumbi wa NEC (White House), leo Septemba 27, 2022 Makao Makuu ya CCM Dodoma.

  

About the author

mzalendoeditor