Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA CCM

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 26 Septemba, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

About the author

mzalendoeditor