Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UJUMBE WA TAASISI YA AFRO-ASIAN UNION KUTOKA NCHINI MISRI

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo Dr.Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka Nchini Misri Dr. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-9-2022.(Picha na Ikulu)   

About the author

mzalendoeditor