Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

poker

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir giriş

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

madridbet giriş

meritking

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

meritking giriş

bets10

casibom güncel giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet giriş

jojobet giriş

grandpashabet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet

meritking

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino sites

Hacklink Panel

radissonbet

vdcasino

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

cratosroyalbet

jojobet güncel giriş

meritking giriş

cratosroyalbet giriş

Meritking

jojobet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

tarafbet

kingroyal

perabet

pulibet

trust score weak 3

padisahbet

ikimisli giriş

tipobet

meritking

cratosroyalbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

marsbahis giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

lunabet, lunabet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza oyna

deneme bonusu

esbet

grandpashabet

holiganbet

teosbet

betsalvador

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

casibom

jojobet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

meritking

marsbahis

jojobet giris

jojobet telegram

holiganbet

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giriş

betpuan

Hacklink panel

jojobet

marsbahis

Google

jojobet

meritking

jojobet giriş

holiganbet giriş

jojobet telegram

casibom giriş

jojobet giriş

casibom giriş

casibom güncel giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

cratosroyalbet

piabellacasino

robinbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

yakabet

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

holiganbet güncel giriş

casibom güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

marsbahis

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

holiganbet giriş

holiganbet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

gizabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

betsalavador

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Featured Kitaifa

MTANDAO WA WABUNGE WA KUPAMBANA NA RUSHWA AFRIKA TAWI LA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA TAKUKURU KUITOKOMEZA RUSHWA NCHINI

Written by Alex Sonna

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) akizungumza wakati wa semina kuhusu elimu ya mapambano dhidi ya rushwa iliyoandaliwa na TAKUKURU jijini Dodoma kwa lengo kuwajengea uwezo wajumbe wa mtandao wa APNAC ili waweze kushirikiana vema na TAKUKURU katika mapambano dhidi ya rushwa nchini.

………………….

Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) amesema mtandao wao utashirikiana kikamilifu na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa kwani rushwa inakwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Mhe. Pareso amesema hayo jijini Dodoma wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) ili waweze kushirikiana vema na TAKUKURU katika kuitokomeza rushwa nchini. 

“Sisi wabunge ambao ni wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania kwa pamoja tunaunga mkono juhudi za serikali kuhakikisha rushwa inatokomezwa nchini kwa sababu kukiwa na rushwa wananchi hawawezi kupata huduma wanayostahili,” Mhe. Pareso amesisitiza.

Naye, Katibu Mkuu wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania, Mhe. Vita Kawawa (Mb) amesema semina waliyopatiwa imekuja wakati muafaka kwani itawawezesha kupata elimu ya kutosha ya jinsi ya kushirikiana na TAKUKURU katika mapambano dhidi ya rushwa nchini.

Mhe. Vita Kawawa amesema kuwa, semina waliyopatiwa itakuwa na manufaa kwa waheshimiwa wabunge ambao ni wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania, kwa sababu wanatoka katika maeneo ambayo fedha nyingi za miradi zimeelekezwa na Serikali, hivyo watatumia elimu waliyoipata kuzuia mianya ya rushwa ambayo inaweza kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kwa upande wake, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini, hivyo wajumbe wa APNAC wakimuunga mkono kupambana na rushwa kwa kushirikiana na TAKUKURU watawezesha fedha za miradi kutumika kwa malengo yaliyokusudiwa.

Mhe. Ndejembi ameongeza kuwa, anaamini baada ya wajumbe hao wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania kupatiwa semina hiyo ya kuwawezesha kupambana na vitendo vya rushwa, watakuwa na ari na nguvu zaidi ya kukemea vitendo vya rushwa katika jamii inayowazunguka ikizingatiwa kwamba, wajumbe hao ni wajumbe wa kamati za fedha katika halmashauri zao.

Akizungumza kuhusu lengo la TAKUKURU kuandaa semina hiyo kwa wajumbe wa APNAC, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni amewaomba wajumbe wa APNAC kusaidia kuwahamasisha waheshimiwa wabunge wengine kutoa elimu ya mapambano dhidi ya rushwa kwa wananchi pindi wanapokutana nao katika mikutano na shughuli mbalimbali za kijamii.

Wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) kupitia Semina hiyo ya siku moja iliyoandaliwa na TAKUKURU walipata fursa ya kupitishwa kwenye mada iliyohusu wajibu wao katika kuzuia vitendo vya rushwa nchini. 

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) akizungumza wakati wa semina kuhusu elimu ya mapambano dhidi ya rushwa iliyoandaliwa na TAKUKURU jijini Dodoma kwa lengo kuwajengea uwezo wajumbe wa mtandao wa APNAC ili waweze kushirikiana vema na TAKUKURU katika mapambano dhidi ya rushwa nchini.

Wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) na baadhi ya watendaji wa TAKUKURU wakifuatilia mada ya wajibu wa wabunge wanachama wa APNAC Tanzania katika mapambano dhidi ya rushwa nchini iliyoandaliwa na TAKUKURU.

Katibu Mkuu wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania, Mhe. Vita Kawawa (Mb) akieleza umuhimu wa semina waliyopatiwa na TAKUKURU katika kuwezesha utekelezaji wa majukumu yao pamoja na ushiriki wao katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa nchini.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akifungua semina kuhusu elimu ya mapambano dhidi ya rushwa iliyoandaliwa na TAKUKURU kwa lengo kuwajengea uwezo wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) ili waweze kutekeleza majukumu yao kikamilifu na kushirikiana na TAKUKURU katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa nchini.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi Salum Hamduni akieleza lengo la TAKUKURU kuandaa semina kwa wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) iliyofanyika jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma TAKUKURU Bw. Joseph Mwaiswelo akiwasilisha mada ya wajibu wa Wajumbe wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) katika kuzuia vitendo vya rushwa nchini.

Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mtandao huo, mara baada ya kupata semina kuhusu elimu ya mapambano dhidi ya rushwa iliyoandaliwa na TAKUKURU jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna