Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

kingroyal

jojobet

holiganbet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

piabellacasino

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

mavibet

piabellacasino giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mavibet giriş

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

betixir

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

maxwin

betpark

sahabet

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

betwoon

giftcardmall/mygift

royalbet

pashagaming

artemisbet

sahabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

Featured Kitaifa

DC MKUDE AKAGUA MIRADI YA MAJI BUBIKI, BUPIGI…AIPONGEZA RUWASA, WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI

Written by Alex Sonna
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi kwenye moja ya vituo vya kuchotea maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
 
Na Kadama Malunde  – Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Joseph Modest Mkude amefanya ziara ya kutembelea miradi ya maji katika kata ya Bupigi na Bubiki inayotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kwa ajili ya kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi ili kuboresha hali ya maisha.
 
 
Mkude amefanya ziara hiyo leo Jumatano Septemba 14,2022 akiwa ameambatana na maafisa wa RUWASA wakiongozwa na Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu Mhandisi Dickson Kamazima.
 
 
Miradi aliyotembelea ni pamoja na mradi wa Maji ya Bomba ambacho chanzo chake ni Kisima kirefu wa Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki uliojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 967 (Tsh. 967,811,515/=) pamoja na Mradi wa maji ya bomba ambao chanzo chake ni Ziwa Victoria wa Bupigi – Butungwa katika kata ya Bupigi unaojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 499 (Tsh. 499,514,650/=.
 
Akizungumza katika ziara hiyo, Mkude amesema lengo la serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salamba pamoja na kumtua mama ndoo kichwani na kumpunguzia umbali wa kwenda kutafuta maji na badala yake kumuongezea muda wa kufanya shughuli zingine za maendeleo ili kujiimarisha kiuchumi na kijamii.
 
Mkude ameipongeza RUWASA Kishapu kwa kusimamia vizuri mradi wa maji wa Mwamishoni – Nyasamba na kuhakikisha wanatumia vizuri fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi sambamba na kumtua mama ndoo kichwani.
 
 
“Nawapongeza Mkandarasi anayetekeleza mradi huu pamoja na RUWASA kwa usimamizi mzuri, mradi umekuwa na matokeo mazuri. Lengo la Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuleta fedha nyingi ni kutaka kuona fedha zinaleta matokeo makubwa na kuondokana na tatizo la maji…
 
Licha ya kwamba mradi huu wa maji umeshaanza kuwanufaisha wananchi,wanapata huduma ya maji, Tunachohitaji kuona sasa ni mradi unakamilika mapema, kamilisheni sehemu zilizobaki ikiwemo ujenzi wa fensi “, amesema Mkude.
 
 
Mkuu huyo wa wilaya amewataka viongozi wa vijiji pamoja na wananchi kushirikiana kulinda miundombinu ya maji huku akiziagiza Jumuiya za watumiaji maji kukusanya fedha na kutumia fedha kwa ajili ya uendelevu wa mradi wa maji.
 
 
“Hongereni kwa kupata maji safi na salama, Jukumu lililobaki sasa ni kutunza miundombinu ya maji. Hiki ni kitu chenu, mmepunguza adha ya kutafuta maji kwa umbali mrefu, tunzeni mradi huu..
 
Wilaya ya Kishapu bado inakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwani tupo chini ya asilimia 60. Serikali inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ili kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama ndani ya mita 400″, ameongeza Mkude.
 
 
 
Akiwa katika mradi wa maji Bupigi – Butungwa, Mkuu huyo wa wilaya ya Kishapu licha ya kushuhudia huduma ya maji ikitolewa, amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi huo, uliofikia 85%, Bent Company Ltd kukamilisha mradi huo haraka kwa kujenga fensi, chemba na kupaka rangi.
 
“Nafurahi kuona huduma ya maji imeanza kutolewa lakini Mradi huu unasuasua. Mkandarasi hakikisha unakamilisha mradi huu ndani ya wiki mbili kama ulivyoahidi. Wewe ni ndugu yangu tusiharibiane. Meneja RUWASA nakupongeza kwa kazi nzuri wananchi wanapata maji lakini nataka mradi ukamilike kwa wakati”, amesema Mkude.
 
Naye Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu,Mhandisi Dickson Kamazima amesema mradi wa maji Bupigi – Butungwa unaojengwa kwa fedha za UVIKO – 19 unatakiwa kukamilika kabla ya Septemba 30,2022 ujenzi wake umefikia 85% ukitarajiwa kuwanufaisha wananchi zaidi ya 2000 ukiwa na vituo vinne vya kuchotea maji huku mradi wa maji Mwamishoni – Nyasamba uliokamilika kwa 90% ukinufaisha wananchi zaidi ya 6500 ukiwa na vituo 13 vya kuchotea maji (DP 6 Nyasamba na Mwamishoni 7).
 
“Mradi wa maji wa Bupigi – Butungwa ulianza kujengwa Januari 2022 unatarajiwa kukamilika Septemba 2022. Fedha hizi ni ufadhili wa Mpango wa Maendeleo kwa ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 kutoka serikali kuu”,amesema Mhandisi Kamazima.
 
 
Aidha ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi wote kushirikiana kulinda miundombinu ya maji ili kuiwezesha huduma ya maji kuwa endelevu kwa manufaa ya kizazi cha leo na kijacho.
 
 
Kwa upande wao wananchi akiwemo Magdalena Stephano na Japhet Joseph na Daudi Ndaki wameishukuru serikali kuwapatia huduma ya maji safi na salama wakieleza kuwa ilikuwa changamoto ya muda mrefu walikuwa wanatumia muda mwingi kufuata maji na asilimia kubwa maji machafu kwenye mabwawa, mashimo na mito.
 
“Changamoto hii ya maji sasa imekwisha..Tumemaliza changamoto ya maji, Mateso yetu ya maji yamefikia kikomo”, wamesema.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (katikati) akiangalia Tanki la maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu leo Jumatano Septemba 14,2022. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (katikati) akiwa amepanda kwenye ngazi za Tanki la maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu
Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu, Mhandisi Dickson Kamazima (kulia) akimwelezea Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude kuhusu ujenzi wa Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu, Mhandisi Dickson Kamazima akimwelezea Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude kuhusu mahali panapotishwa bomba la maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza jambo katika eneo la Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Muonekano eneo la Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akiendelea kukagua Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akifungua maji kwenye moja ya vituo vya kuchotea maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi kwenye moja ya vituo vya kuchotea maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza kwenye kituo cha kuchotea maji katika Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki unaotekelezwa na Mkandarasi Jonta Investment kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu.
Mkazi wa Bubiki Magdalena Stephano akizungumza wakati Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akitembelea Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki.
Mkazi wa Bubiki Daudi Ndaki akizungumza wakati Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akitembelea Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki.
Mkazi wa Bubiki Japhet Joseph akizungumza wakati Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akitembelea Mradi wa maji ya bomba Mwamishoni – Nyasamba katika kata ya Bubiki.
Muonekano eneo la mradi wa maji Bupigi – Butungwa unaotekelezwa na Mkandarasi Bent Company Ltd kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu ambao ujenzi wake umefikia asilimia 85 na wananchi wameanza kupata huduma ya maji safi na salama.
Muonekano sehemu ya tanki la maji la mradi wa maji Bupigi – Butungwa unaotekelezwa na Mkandarasi Bent Company Ltd kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu ambao ujenzi wake umefikia asilimia 85 na wananchi wameanza kupata huduma ya maji safi na salama.
 
 
Meneja wa RUWASA wilaya ya Kishapu, Mhandisi Dickson Kamazima (katikati) akimwelezea Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kushoto) kuhusu mradi wa maji Bupigi – Butungwa unaotekelezwa na Mkandarasi Bent Company Ltd kwa usimamizi wa RUWASA Kishapu ambao ujenzi wake umefikia asilimia 85 na wananchi wameanza kupata huduma ya maji safi na salama.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kushoto) akihoji kwanini mradi wa maji Bupigi – Butungwa unaotekelezwa na Mkandarasi Bent Company Ltd unasua sua huku akimwagiza mkandarasi huyo kukamilisha ujenzi haraka.
Mwakilishi wa Mkandarasi Bent Company Ltd, Riziki Masoud (kulia) akimuahidi Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kushoto) kukamilisha ujenzi mradi wa maji Bupigi – Butungwa ndani ya wiki mbili.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kulia) akizungumza katika mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
 
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kulia) akizungumza katika mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kulia) akikagua chemba katika kituo cha kuchotea maji cha kijiji cha Butungwa kwenye mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kushoto) akikagua kituo cha kuchotea maji cha kijiji cha Butungwa kwenye mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (katikati) akifungua maji katika kituo cha kuchotea maji cha kijiji cha Butungwa kwenye mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (katikati) akimtwisha ndoo ya maji mwanachi katika kituo cha kuchotea maji cha kijiji cha Butungwa kwenye mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude (kushoto) akizungumza katika kituo cha kuchotea maji cha kijiji cha Butungwa kwenye mradi wa maji Bupigi – Butungwa kata ya Bupigi.
 
 
Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna