Mbunge wa Viti Maalum Tamima Haji Abass, akila kiapo Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Viti Maalum Tamima Haji Abass, baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana Bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete,