Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA UFUNGUZI JENGO LA SARATANI BUGANDO

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango , mkewe Mama Mbonimpaye Mpango pamoja na viongozi mbalimbali wakishiriki ibada maalum iliofanyika kabla ya uzinduzi wa Jengo la Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 13 Septemba 2022.

About the author

mzalendoeditor