Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AWAAGA MADAKTARI BINGWA KUTOKA JAMHURI YA WATU WA CHINA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum na Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dr. Qu , walipofia Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika hospitali za Unguja na Pemba .

MADAKTARI Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, mazungumzo  yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya kuwaaga Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China  baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar, kutowa huduma za Afya kwa Wananchi katika Hospitali za Unguja na Pemba, mazungumzo hayo yaliyoyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha nishani  mmoja wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, wanaomaliza muda wao wa Kazi Zanzibar wa kutowa huduma za  matibabu katika Hospitali za Unguja na Pemba, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Tuzo Maalum na Kiongozi wa Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China Dr. Qu , walipofia Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-9-2022, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa Kazi Zanzibar katika hospitali za Unguja na Pemba .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuiaga Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Jamhuri ya Watu wa China, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi Zanzibar katika Hospitali za Unguja na Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 

PICHA NA IKULU

(Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor