Burudani Featured

APOGEEMUZIK ANASEMA “TELL THEM”

Written by mzalendoeditor
Apogeemuzik ni moja kati wa msanii kutoka nchini Nigeria wanaofanya muziki wa miondoko ya Afro Beat ambaye ndoto yake ni kama ya msanii mwingine yeyote kuwa mkubwa na kufanikisha muziki wake kuwafikia watu mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali.
 

Baada ya kazi yake kufanikiwa kufanya vizuri mwishoni mwa mwaka 2021 ambayo ilikuwa inafahamika kwa jina la Describe, Apogeemuzik ameamua kuachia kazi nyingine tena ambayo inafahamika kwa jina la TELL THEM huku kazi hiyo ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kufanyika video kali lakini kwa sasa audio ya kazi hiyo inapatikana katika vyanzo vyote vya kupakua na kununua muziki duniani.
 
Sikiliza hapa chini

 

About the author

mzalendoeditor