Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KILICHOKUTANA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam 

About the author

mzalendoeditor