Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA RAIS KAGAME

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Rwanda  Mheshimiwa Paul Kagame  Mazungumzo yaliofanyika katika  Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda.

About the author

mzalendoeditor