slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

imajbet

artemisbet giriş

artemisbet

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

jojobet

vdcasino

kingroyal

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

Featured Kitaifa

CSSC YAJIDHATITI KUONGEZA MAPATO KATIKA VITUO VYA AFYA VYA MAKANISA

Written by Alex Sonna

MENEJA  wa mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya (PATA),Dk Godfrey Kway,akielezea jinsi mradi huo unavyoendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya kwenye makanisa wakati wa  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

……………………………………..

 

Na Alex Sonna-DODOMA

SHIRIKA la Christian Social Services Commission (CSSC), kupitia mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya unaolenga kuwezesha vituo vya afya vya makanisa kujiimarisha na kujiendesha kiuendelevu kupitia mapato ya ndani umeleta mafanikio mbalimbali ikiwemo kuongeza wateja kwa asilimia 22 pamoja na kuongeza mapato ya hospitali kwa wastani wa asilimia 34 kwa mwezi.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Meneja wa mradi huo,Dk Godfrey Kway wakati akizungumza kwenye  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA)

Dk Kway amesema kuwa mradi huo unalenga kuimarisha vituo vya makanisa ili viweze kujitegemea   kifedha.

Amesema kupitia mradi huo  vituo vya afya 11 vimeweza kufikiwa hadi sasa na vinatoa huduma bora kwa wananchi katika maeneo ya vijijini.

“Vituo vyetu vimekua vikitegemea ufadhili na fedha kutoka nje. Sasa hivi ufadhili umepungua na vimeanza kupata changamoto kutokana na fedha hizo kupungua.

“Tuliona kama kanisa tuje na mradi huu ili kuvisaidia vituo hivi kuongeza ubora na mapato na kutengeneza huduma zao pamoja na kuboresha huduma za uongozi ili kuwavutia wagonjwa na pamoja na kutatua changamoto ya kukosekana kwa dawa

“Mpaka sasa tumeanza kupata mafanikio makubwa cha kwanza ilikuwa kutoa uelewa kwa viongozi wetu wa dini.Vituo vimeanza kupata mafanikio makubwa hasa kwenye bima kwani mapato ya mwezi yameongezeka maradufu  ndani ya mwaka,” amesema Dk Kway.

Kwa upande wake,Dk Ringo Mtei kutoka Shirika la Christian Social Services Commission (CSSC), amesema jukumu lao kubwa ni kuhakikisha vituo hivyo vya afya vya kanisa vinatoa huduma bora kwa wananchi na kuweza kukamilisha lengo la kutoa huduma kwa watu wasiojiweza.

“Tunatekeleza mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya ambao unalenga vituo vya kanisa kutoa huduma bora kujitegemea na kuendelea kutoa huduma endelevu.

“Tumefanya kwa kuanzisha na kuimarisha kampuni ya madawa ambayo itakuwa inasambaza madawa. Vilevile kuwezesha vituo hivi kutumia njia mbadala za kuweza kupata mikopo, pamoja na kuboresha miundombinu kwani mingi ni ya zamani kutokana na vituo  vingi vimeanzishwa zaidi ya miaka 100,” amesema.

Amesema lengo ni vituo viweze kujiendesha kutokana na vitengo vyao vya ndani na kuvisaidia  kupata mikopo ambayo itawasaidia  kujitegemea    na kutoa huduma endelevu na zenye ubora.

“Changamoto ilikuwa ni vituo haviwezi kujiendesha vingine hata kulipa mishahara ilikuwa ni shida na hata dawa zilikuwa hazipatikani na vituo tulikuwa tukiwategemea wahisani,”amesema.

Naye,Mganga Mfawidhi kutoka Hospitali Teule ya St.Joseph Moshi Sister  Dk Hellen Kyilosudu, amesema wamepata mafunzo mbalimbali ya namna ya kuendesha hospitali kwa faida na kupitia mafunzo hayo mafaniko makubwa  yameonekana.

Amesema wanahakikisha wanatoa huduma bora kwa wagonjwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanaondokana na uhaba wa dawa, wafanyakazi wote kufuata miongozo na kujiwekea malengo na kutunza kumbukumbu zao vizuri ili kuepukana na upotevu wa mapato unaotokea katika maeneo mbalimbali.

“Tulikua na udhaifu kwenye makusanyo ya mapato hasa kwa upande wa bima za afya, baada ya kupata mafunzo na usaidizi wa mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya sasa tumeweza kuboresha huduma zetu na wananchi wanakuja kwenye kituo chetu na sasa mapato yameongezeka.” amesema.

Mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya unatumia mkakati wa kufanya mapitio ya masoko ya vituo vya afya vya makanisa ikiwemo aina na ubora wa huduma zinazotolewa, upatikanaji wa dawa, uendeshaji na utendaji kazi wa vitengo vya hospitali na ukusanyaji wa mapato ili kugundua sehemu ambazo hospitali hizi zinaweza kuboresha na kujiongezea mapato.

MENEJA  wa mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya (PATA),Dk Godfrey Kway,akielezea jinsi mradi huo unavyoendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya kwenye makanisa wakati wa  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

Rais wa Chama cha Madaktari wa Kikristu (TCMA) Dk.Paul Kisanga,akifafanua mada mbalimbali zilizowasilishwa kwenye mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma unaoendelea jijini Dodoma.

Dk Ringo Mtei kutoka Shirika la Christian Social Services Commission (CSSC),akitoa mada kwa washiriki (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini (TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

Mganga Mfawidhi kutoka Hospitali Teule ya St.Joseph Moshi Sister  Dk Hellen Kyilosudu,akielezea namna ya kuendesha hospitali kwa faida na kupitia mafunzo ya Shirika  la Christian Social Services Commission (CSSC), kupitia mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya wakati wa  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

MGANGA Mfawidhi kutoka Hospitali ya Turiani Morogoro,akiwasilisha mada kwa washiriki (hawapo pichani) wakati wa  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa  mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

MWENYEKITI Chama cha Vituo Binafsi vya Afya Tanzania (APHFTA) Dk.Egina Makwabe,akichangia mada wakati wa mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini(TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

MGANGA Mfawidhi Hospitali ya Kilema Sr.Dk.Mayola Massawe,akitoa ushauri kwa washiriki wakati wa mkutano wa 85 wa Chama cha Madaktari wa Hospitali za Mashirika ya Dini (TCMA) unaoendelea jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna