Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma

default
Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali – Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)