Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASAFIRI KWA MELI KUTOKA ZANZAIBAR KWENDA DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiingia ndani ya Meli ya Kilimanjaro 4 kutoka Bandari ya Malindi Zanzibar wakati alipokuwa akielekea Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania cMhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Abiria na Wananchi mbalimbali aliosafiri nao kwa Meli ya  M.V Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam  tarehe 05 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye Meli ya Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam  tarehe 05 Septemba, 2022

About the author

mzalendoeditor