Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA MAJENGO YA WIZARA MBALIMBALI KATIKA MJI WA SERIKALI – MTUMBA DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu, wakati alipokagua  maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji wa Serikali-Mtumba, Dodoma

default

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali katika Mji  wa  Serikali – Mtumba jijini Dodoma . Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alikagua ujenzi huo, Septemba 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor