Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KHAMIS ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KIZIMKAZI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akiungana na viongozi mbalimbali kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali AbdulGullam Hussein.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi wakati aliposhiriki katika Maadhimisho ya Tamasha la Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwa na Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Mhe. Ali AbdulGullam Hussein aliposhiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, leo Septemba 3, 2022 Zanzibar.

About the author

mzalendoeditor