Burudani Featured

BONDIA MWAKINYO APIGWA TKO NCHINI UINGEREZA

Written by mzalendoeditor

Bondia Hassan Mwakinyo amepoteza pambano dhidi ya Liam Smith baada ya kupigwa kwa TKO

Pambano hilo lilikuwa na mizunguko 12 liliishia mzunguko wa 4 baada ya Mwakinyo kupiga goti wakati pambano likiendelea

Pambano hilo limefanyika katika ukumbi wa M & S Arena mjini Liverpool nchini Uingereza

About the author

mzalendoeditor