Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA NDUGU JAMES MBATIA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor