Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA MIRADI MBALIMBALI KIZIMKAZI,ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Abdulmajeed Nsekela wakati akifungua Maabara katika Skuli Kizimkazi, Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maabara katika Skuli ya Kizimkazi Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kufungua Ofisi za Kizimkazi Saccos Mkunguni, Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kufungua Ofisi za Kizimkazi Saccos Mkunguni, Kizimkazi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Kizimkazi Dimbani 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni wakati akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Kizimkazi mara baada ya kufungua Kituo cha Polisi Kizimkazi, Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kufungua Ofisi ya Sheha ya Tasani, Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chama la Miwaleni, Makunduchi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipigiwa Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki kabla ya kufungua Kituo cha Polisi Kizimkazi, kwenye hafla iliyofanyika Mkunguni Zanzibar 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia ngoma ya asili ya Watoto wadogo mara bada ya kufungua Maabara ya Skuli ya Kizimkazi Mkunguni Zanzibar

About the author

mzalendoeditor