Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

TAASISI YA NELSON MANDELA NA ICDL AFRIKA KUSHIRIKIANA KATIKA UJUZI WA KIDIGITALI

Written by Alex Sonna

Makamu Mkuu wa Chuo ,Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Emmanuel Luoga (Kulia) na Mkuu wa kanda ya Afrika ICDL Peter Maina (Kulia) wakibadilishana hati ya Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali mara baada ya kuweka saini katika Ukumbi wa Mkutano wa taasisi hiyo Tengeru Arusha Septemba 2, 2022..

……………………………………………..

Na Mwandishi Wetu,Arusha

Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela  (NM-AIST) imesaini Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali, na Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Utoaji wa Vyeti vya Kompyuta (ICDL Afrika) kwa lengo la kuongeza ufanisi katika ufundishaji.

Akizungumza  katika halfa hiyo, Septemba 2, 2022 jijini Arusha,  Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa. Emmanuel Luoga amesema Taasisi hiyo imeona umuhimu wa kushirikiana na Taasisi ya ICDL Afrika ili kuleta umahiri na ufanisi wa kazi, na kujenga uwezo wa kidijitali kwenye nyanja mbalimbali za kimaendeleo na kielimu katika kukuza sekta ya mawasiliano nchini .

Profesa Luoga ameeleza kuwa,  taasisi hiyo itakuwa na mtandao wa mawasiliano ya teknolojia ikiwemo  Kituo cha Umahiri katika kuhakikisha masuala ya mawasiliano yanakwenda kasi kuendana na utandawazi.

“Tunataka chuo chetu kiwe cha kwanza katika umahiri na  utoaji ujuzi wa kidijitali katika masuala ya kompyuta” amesema  Profesa Luoga.

Naye Mratibu wa ICDL nchini Tanzania, Ndg. Edwin Masanta amesema wameamua kushirikiana na taasisi ya Nelson Mandela katika kuhakikisha wanaongeza utendaji kazi na ufanisi kwa kutoa mafunzo ya elimu ya kidigitali kwa wananchi kuanzia ngazi ya chini hadi ya juu kielimu.

Aidha,  amesema kuwa, Tanzania ya viwanda ni lazima iweze kuendana na kasi ya teknolojia ya kompyuta katika kuhakikisha ubora wa maendeleo unaendana na kasi ya ukuaji wa uchumi kwa kutumia kompyuta.

Kwa upande wake Mhadhiri kutoka Taasisi ya Nelson Mandela  kwa niaba ya Kaimu  Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha  na Utawala Profesa  Kelvin Mtei amesema programu hiyo ya kompyuta itaongeza tija ya ufanisi na utendaji kazi   katika kukuza uchumi.

Makamu Mkuu wa Chuo ,Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Emmanuel Luoga (Kulia) na Mkuu wa kanda ya Afrika ICDL Peter Maina (Kulia) wakisaini Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali wenye lengo la kuongeza ufanisi katika ufundishaji katika ukumbi wa mkutano wa taasisi hiyo Tengeru Arusha Septemba 2, 2022.

Makamu Mkuu wa Chuo ,Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Emmanuel Luoga (Kulia) na Mkuu wa kanda ya Afrika ICDL Peter Maina (Kulia) wakibadilishana hati ya Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali mara baada ya kuweka saini katika Ukumbi wa Mkutano wa taasisi hiyo Tengeru Arusha Septemba 2, 2022..

Wajumbe waliohudhuria hafla ya kuweka saini Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali baina ya Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela na Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Utoaji wa Vyeti vya Kompyuta ( ICDL Afrika) wakifatilia uwasilishajia wa Taarifa kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo ,Profesa. Emmanuel Luoga (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mkutano wa taasisi hiyo Tengeru Arusha Septemba 2, 2022.

Mhadhiri kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Sanket Pandhare (wa pili kulia) akielezea utendaji kazi wa Kompyuta yenye Utendaji wa Juu (HPC) kwa Mkuu wa Kanda ya Afrika ICDL Peter Maina ( wa pili kushoto) na Mratibu wa ICDL Tanzania Edwin Masanta (wa kwanza Kushoto) walipotembelea Maabara ya Kompyuta ya Taasisi hiyo wengine ni Bi. Grace Kija (wa nne kulia),Dkt . Zeeshan Khan (wa tatu kulia) na Dkt. Efraim Kosia ( wa kwanza Kulia) leo Septemba 2,2022.

Makamu Mkuu wa Chuo ,Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Emmanuel Luoga (Katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja Mkuu wa kanda ya Africa ICDL Peter Maina (Kushoto) na Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Mipango, Fedha na Utawala Profesa. Kelvin Mtei(kulia) mara baada ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya Ujuzi wa kidigitali na Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Utoaji wa Vyeti vya Kompyuta (ICDL Afrika) katika ukumbi wa Mkutano wa Taasisi hiyo Tengeru Arusha Septemba 2, 2022.

About the author

Alex Sonna