Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AHANI MSIBA WA MTOTO WA MZEE MWINYI CHUKWANI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi kufuatia kifo cha mtoto wake Hassan Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhani msiba tarehe 01 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais wa Zanzibar mara baada ya kuhani msiba nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mama Siti Mwinyi baada ya kuhani msiba wa mtoto wa Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi nyumbani kwa Marehemu Chukwani mjini Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2022

About the author

mzalendoeditor