Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

BAJETI YA MATENGENEZO YA MIUNDOMBINU YA UMEME YAONGEZWA KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati Wizara ilipowasilisha kwa Kamati hiyo, utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

…………………………..

SERIKALI imeongeza bajeti ya matengezo  ya miundombinu ya umeme kutoka shilingi bilioni 197.61 kwa mwaka 2021/2022 hadi shilingi bilioni 211.56 kwa mwaka 2022/2023 ili kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini.

Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma wakati Wizara ya Nishati ikiongozwa na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ilipowasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Nishati na Madini, utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati hiyo kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

Kamati hiyo imeelezwa kuwa, ongezeko hilo la bajeti  limefanywa ili kuhakikisha matengenezo ya miundombinu yanafanyika kikamilifu na kwa wakati na hivyo kuimarisha hali ya upatikanaji umeme.

Pamoja na hilo, Serikali imetenga shilingi Bilioni 500 kwa ajili ya mradi wa kuimarisha gridi ya Taifa ambao unalenga kuboresha hali ya umeme nchini ambapo pamoja na kazi nyingine, jumla ya kilometa 3,930 za njia ya usafirishaji umeme zitajengwa, jumla ya vituo vikubwa vya umeme 62 vitajengwa na kilometa 2,572 za njia za usambazaji umeme zitajengwa pia.

Kuhusu utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) Kamati hiyo imeelezwa kuwa, mradi huo ambao utekelezaji wake umefikia asilimia 67.18, unaendelea kutekelezwa kwa ufanisi kwani kuna vitengo kutoka Wizara ya Nishati na TANESCO ambavyo vinasimamia mradi huo na pia kuna kamati ya Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali wanaosimamia mradi.

Aidha, ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji umeme wa kV 400 kutoka JNHPP hadi Chalinze ambapo kunajengwa pia kituo cha kupoza umeme, imefikia asiliamia 60 na inatarajiwa kukamilika mwezi Januari mwaka 2023 hali itakayowezesha umeme kutoka mradi huo kutokumbwa na changamoto ya usafirishaji na usambazaji.

Kuhusu suala la  ujenzi wa maghala makubwa ambayo yatahifadhi mafuta zaidi ya mita za ujazo milioni 1.25 na kuiwezesha nchi kuagiza mafuta mengi zaidi wakati bei ya mafuta inaposhuka katika soko la dunia, Serikali imeeleza kuwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kushirikiana na kampuni yake ya TANOIL imeanza utekelezaji wa kujenga maghala makubwa ya kuhifadhi mafuta (tank farms) ambapo yatatumika pia kama hifadhi ya Taifa ya mafuta ya kimkakati.

Kikao hicho cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kilihudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, kheri Mahimbali, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Edward Ishengoma, Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Mjinja, Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Petro Lyatuu na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati Wizara ilipowasilisha kwa Kamati hiyo, utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande,  akizungumza wakati wa Kikao cha Wizara ya Nishati na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati Wizara ilipowasilisha kwa Kamati hiyo utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati  kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

Watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini ya Wizara wakifuatilia Kikao cha Wizara ya Nishati  na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakati Wizara ilipowasilisha kwa Kamati hiyo utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati  kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,  wakiwa katika kikao na  Wizara ya Nishati ilipowasilisha kwa Kamati hiyo utekelezaji wa maazimio ya Bunge kutokana na taarifa ya mwaka ya Kamati  kwa kipindi cha mwezi Februari 2022.

About the author

Alex Sonna