Featured Michezo

SIMBA QUEENS MABINGWA CECAFA 2022

Written by mzalendoeditor

Na Alex Sonna-DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba Queens wametwa ubingwa wa Michuano ya CECAFA Women 2022 na kufuzu moja kwa moja Ligi ya Mabingwa barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 She Corporates kutoka Uganda.

Bao pekee na la ushindi la Simba Queens limefungwa na Mshambuliaji wao hatari kutoka nchini Kenya Vivian Corazone dakika ya 49 kwa  mkwaju wa Penalt 

Kwa ushindi huo imba Queens watashiriki  Mashindano ya Klabu Bingwa Africa,yatakayofanyika nchini Morocco.

About the author

mzalendoeditor