Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AKABIDHIWA RIPOTO YA HESABU ZA SERIKALI VIWANJA VYA IKULU

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka 2020/2021, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-8-2022,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.

BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Othman Abass Ali(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar(

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali akisoma Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021, wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika leo 27-8-2022 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ikisomwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abass Ali.(kushoto kwa Rais) kabla ya kumkabidhi,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar l

VIONGOZI Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

WAHESHIMIWA Wakuu wa Mikoa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kukabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.Othman Abass Ali,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor