Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA “TOOTHPICKS” RUANGWA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia vijiti vya meno ‘Toothpicks’ vilivyotengenezwa na mti wa muanzi alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi, Agosti 22, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw. Baraka Peneza.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa na Mwendesha Mitambo wa kiwanda cha Jwapano Bamboo, Bw.  Nicolous Nestory  namna muanzi unavyoandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi,

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia muanzi ambao tayari umeandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo cha Jwapano Bamboo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi,

About the author

mzalendoeditor